wolper/jokate/sintah hawana lolote kamwe hawamkuti wema

Nawasalimu wadau

Jamani nimecheki event ya wema ni noma sijui pesa anapata wapi ila ni noma.

Wolper na muuza unga wake hana lolote, kakalia hicho kigari, jpkate kuvaa miguo myeusi, na sintah hana hata la kumsema.

Wema kweli nilikuwa nakuona ***** bt management ya Kadinda imekubadili, fanya mambo ya maendeleo hii migubegube ya mjini iache iendelee.

kweli wema ni noma, hivi pesa ana pata wapi maana nimeona anafanya interview na zamaradi kwenye bonge la nyumba.

Ile nyumba ni yake?
 
Wote hao ni wafanya biashara ya zamani kuliko zote, hawana cha maana hata nusu.
 
Acha ushamba MasterCard na American express ndo nini kuna watu mambo yanaenda kwa madafu bila kuwa na akili za kitumwa eti kumiliki hayo makadi ndo kupatia! Kuwa na busara mdau
Utafanyaje intl buzines bila kuwa na kamastercad?? utakalia hayo madafu na kuzunguka zunguka kariako, wenzako wanakwenda china na ma-dubai...!!
 
ushuzi lakini unafanya mambo amabay wewe huwezi yafanya...:israel:
Kwahiyo sasa hivi ndio unatumia ID hii baada ya ile nyingine kukuwashia moto? yaani wewe ni lofa wa mali mpaka akili basi tabu tupu, akili zako sidhani kama zina ujazo hata wa 1GB!!...
 
Utafanyaje intl buzines bila kuwa na kamastercad?? utakalia hayo madafu na kuzunguka zunguka kariako, wenzako wanakwenda china na ma-dubai...!!

kumbe kina Wolper wanafanya international biznez!!
Biashara gani iyo mdau??
 
Acha ushamba MasterCard na American express ndo nini kuna watu mambo yanaenda kwa madafu bila kuwa na akili za kitumwa eti kumiliki hayo makadi ndo kupatia! Kuwa na busara mdau

big up mkuu..

kuna watu huku mikoani wana mawe ya kufa mtu..na hayo makadi wala hawayajui...ni madafu lakini ya hatari.
 
Kwahiyo sasa hivi ndio unatumia ID hii baada ya ile nyingine kukuwashia moto? yaani wewe ni lofa wa mali mpaka akili basi tabu tupu, akili zako sidhani kama zina ujazo hata wa 1GB!!...

i'm not related to WEMA or her fan, i'm just a person who support good things when done by anybody,

sijui ni nani huyo mliyewashiana moto unafikiri ni mimi, endelea bahatisha good dog
alien.gif
,
 
wana JF sio mnalalamika thread imekaa kimipasho.. mnaangalia na jukwaa bana.. sio kila sehemu siasa
 
Hongera Wema ,lakini haupo sahihi kukandia watu wengine nani alikuambia dunia inasimama baada ya kupa ta mafanikio.
 
Usilolijua litakusumbua!!!!!!! Tena sana!!!!!!!!!!!! Kwa taarifa yako mimi ni FAIZA FOXXY NIMERUDI KIVINGINE. ujunior member usikutishe!!!!!!! Nipo humu tangu enzi za jambo forum sema ban tu ndo zinanidogosha

Arooo.Mods mpo wapi? Riharifu rimejireta huku na kujitamburisha upya,njooni mripe bani nyingine..
 
Back
Top Bottom