Wolper jamani

Aya mambo ndo muhimu sana kwa watanzania,


Asante mungu kuzaliwa hapa
 
Ila Wolper mkali aisee... Mimi kuna mademu watatu hawa wakinipa hata leo pamoja na kwamba wamegawa sana siwezi kuwaacha
1. Wema
2. Wolper
3. Jokate
Sio wewe tu wengi hawawezi kataa
 
Alivyo cha Pombe utashangaa kaandika hivyo akiwa amekunywa.

Halafu ninachokiona bado anampenda harmo....ajaribu kuendelea na maisha yake... mbona kapita kwa wengi ila kwa harmo ndiyo imekua shida.
Haaahaaa
 
Eee kuandamana hamuwezi hakuna wanaume Tanzania
Hahahah Watoke wapi sasa, kasoro mme wangu tu alikua nje ya nchi
angeandamana bwana,

Mijianaume ya skuiz eti inakata viuno adharani, alafu kibaya zaid eti snapchat nayenyewe inJiwekea tumaua twa kichwani na filta juuu, dooooooooo!! Tanzania mbona rahaaaaaaaaa,.!! Wamebakiza kubeba mikoba ati !!!

Mwanaume unavaa skin jinz
mwanaume unakula chipsi kavu


Mwanaume hata push up mbili tu hawezi


Mwanaume ananenepa tako


Mwanaume ana dresiing table



Nisameheni tu ila nyie wanaume nyie tena waskuiz kwakweli hatuna uhakika kama ni wanaume jamani!!!!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…