hivi kunijibu kwa lugha nzuri umeshindwa nn? mbona povu linakutoka kama unahasira na wema? kwani wema kuwa na nyumba ajabu nn? acha wivu wa kipuuzi.umenikera sana ila nimekusamehe.
Mmiliki wa nyumba anayokaa wema ni ya shemeji wa rafiki yangu,tena anakaa jirani kabisaa na hyo nyumba,nashangaa anavyojitangazia nyumba yake,pesa anazo nyingi za kuhongwa sema akili hana
Mastaa wa bongo ni hovyoo hawana akili wanawaza anasa tu..ngoja wafe km kina kanumba.,tuone aibu zao...unamiliki gari ml200 ht banda huna pfyuuuuu...big up lulu kaona mama yake hana nyumba na uwezo hana bora yy ajenge..wonderful