muke ya mtu JF-Expert Member Joined May 25, 2015 Posts 295 Reaction score 186 Jul 11, 2016 #1 Habarini wakuu!, Nilipokuwa safarini leo kutoka Mbeya kuelekea Iringa kwenye basi kuna movie iliwekwa dakika chache kabla sijashuka inaitwa Wolf warrior ilinivutia saaana. Jaman naomba msaada kwa mwenye nayo, au hapa Iringa ntaipata wap?
Habarini wakuu!, Nilipokuwa safarini leo kutoka Mbeya kuelekea Iringa kwenye basi kuna movie iliwekwa dakika chache kabla sijashuka inaitwa Wolf warrior ilinivutia saaana. Jaman naomba msaada kwa mwenye nayo, au hapa Iringa ntaipata wap?
Shuleless JF-Expert Member Joined Aug 12, 2015 Posts 4,972 Reaction score 6,245 Jul 11, 2016 #2 Iringa chaka sana... Huwezi ipata.Hebu nenda Kat utaipata.
Kajole JF-Expert Member Joined Apr 12, 2011 Posts 1,668 Reaction score 1,660 Jul 12, 2016 #3 Konsciouz said: Iringa chaka sana... Huwezi ipata.Hebu nenda Kat utaipata. Click to expand... we nawe kakudanganya nan iringa chaka?,yaan hata movie tu kwel zikosekane?...duh na technology hii si umkumbushe aipakue youtube mbona zinapatikana
Konsciouz said: Iringa chaka sana... Huwezi ipata.Hebu nenda Kat utaipata. Click to expand... we nawe kakudanganya nan iringa chaka?,yaan hata movie tu kwel zikosekane?...duh na technology hii si umkumbushe aipakue youtube mbona zinapatikana