Woga wa panyaroad au kufumaniwa?

Haaaaa haaaaa! Wanaume wa Dar Bwana, si rijali..!
 
dah afu hapo unasema una mwanaume.......
 
Sasa hivi kama ana mke na watoto sijui wenyewe wafanyaje sasa kama kichwa cha familia kinaogopa hivyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…