Woga wa dengue

Kinga ni Bora!!! Jikinge kijana usije jutia badae!!
 
Kweli huu ugonjwa unatupeleka mzobemzobe,sipati picha wale wasio weza nguo ndefu na 'makufuli' hali ikoje lol!
 
hata machangudoa nadhani sasa hawana namna, sket ndefu zinawahusu
 
Hahahahahahaha!!!!!

Huko kujiami bwana hadi kwenye taarifa za habariii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…