Duuuh, kunarahakumbe huko!Wakifuatilia taarifa ya habari
Hivi fikiria kama ni mmoja wapo wa familia yenu.
Fikiria kama wewe ni kaka mkubwa, wazazi wako wazee sana, halafu huyo ni mdogo wako.
Fikiria kama wewe ni kijana, unasoma na huyo ndiye ulikuwa ukimtegemea kwa kukusomesha.
Fikiria kama wewe ni mzazi huo awe mtoto wako.
Fikiria wewe kama ni mtoto, na huo uambiwe ndiye baba yako.
Fikria kama wewe ni mgonjwa, unaambiwa dawa ya ugonjwa wako alikuwaga anaijua huyo, na bahati mbaya sasa hakumbuki kitu.
UNGEKUWA UNAFURAHI NA KUTANIA KI HIVYO? KUMBUKENI NDUGU ZANGU, KUWA KATIKA HALI HYO NI MATESO MAKUBWA SANA KWA MGONJWA NA WATU WAKE WOTE WA KARIBU.
HAKUNA MTU ANAOBAGA HALI HIYO ISOGEE KWENYE MALANGO YA NYUMBA YAKE.
NINAOMBA TUWE WATU WA KUHURUMIANA KAMA BINADAMU.
USIKU MWEMA.

Hata kidogo mdogo wangu, nimezoelea vya kunyonga mimi vya kuchinja kwangu matatizo.tukupeleke nini?