Naipenda sana hata mi.umenikumbusha mbali
Mkuu ni nyimbo mpya ya wiz kid..sio ya zamani
STAR BOY WIZZY namkubali sana..toka holla at your boy na tease.. Hawa ndio wasanii sasa..siwezi kuacha kumpigia wizzy kid kura eti nimpigie Diamond..kwa lipi hasa.. acha nisiwe mzalendo kama uzalendo
Dogoo namkubali sanaa coz ana
1)sauti ya kipekeee ... yanii mimi dogoo nukimwangalia na mwona up coming #2face
2)Then hanagaa zilee sifaa za kijingaa kama davido&dimond.
3)nyimbo zilizo nivutia top 5 #ojuelegba #expensive shit #show my money #carol #halla t you
Team #lastarboy
Na wenyewe wa Wizkid?
Yap, ni wa kwake pia, katika nyimbo za huyu mtoto uliouweka ndio unanimaliaza, naupenda huu wimbo jamani!
King'asti umeusikia?
Hahaha, mie mvivu kufuatilia lyrics, leo umenifanza nikausikiliza na lyrics zako. Huwa najua hapa tu
I am feeling good tonight
This thing got me thanking God for life
Oh, I cant explain
I cant explain eh yea
Na wenyewe wa Wizkid?
Huu wimbo uko tofauti na nyimbo za kinaija za kucheza sana
huu unasikia melody tu unavutika..
naweza sema aliimba akiwa sincere sana
ulimtoka moyoni ndo maana ukisikia unaguswa
ukitazama video utaona yuko kiupole sana kwenye daladala....
hana mbwembwe zile za nyimbo zingine....
Ameutendea haki sana tu, kuna mwingine naupenda sana pia nao hauchezeki but unanivutia sanaa, unaitwa Ololufe, Flavour Ft Chidinma, yaani huyu mdada nampenda balaa, ka cute sana!