ESPRESSO COFFEE
JF-Expert Member
- Sep 6, 2014
- 6,170
- 7,661
Je kama wamebadirisha utaratibu utajuaje?Mleta uzi wewe upo marekani?
Wizkid alishawaambia BET hataki kushiriki kwenye tuzo zao mpaka pale waandaaji watapotambua thamani ya wasanii wa kiafrika,
Anasema hizo tuzo wanapewa siku 1 kabla ya tuzo zenyewe kutangazwa tena unapewa kwa mlango wa nyuma mradi tu unapiga picha nayo,
Yeye anataka na waafrika wapewe mbele ya majukwaa kama wengine na wapewe kuongea sio kama wanavyopewa,
Ukweli simjui hata huyo Wizkid anatoka nchi gani,
Hili nilisikia radio fm fulani wanajadili jambo hili,
Naona unarukaruka tu kama churaNaona watu wanawachukulia poa akina AKA na Cassper Nyovest japo media za kule ziko bize na wao kuliko Diamond na Wizkid.
Hata hivyo jeuri ya wizkid itapunguza ushindani kwa Diamond na kumpa sababu zaidi za kushinda japo sio kirahis kama tunavyoona.
Yemi Alade pia amefanya vizur mwaka mzima huu kwahyo sio mtu wa kupuuzwa pia.
Bado mchakato ni mgumu lakin tushirikiane kuomba kombe lirudi nyumbani.
All the best C.E.O wa WCB
Mrembo ni pmNaona unarukaruka tu kama chura
Anatoka wapiBlackcoffee
Naona unarukaruka tu kama chura
Kuna watu wengine wanauwezo wa kuona nje ya pazia bila shaka wizkid ni mojawapo...keshaona huyu mtu anayetokea tandale keshabeba hiyo ngoma so kwenda USA nikama kujipatisha aibu ya karne