Wizkid Kutokufika Marekani Katika Tuzo za BET hii inamaanisha nini?

Kuna watu wengine wanauwezo wa kuona nje ya pazia bila shaka wizkid ni mojawapo...keshaona huyu mtu anayetokea tandale keshabeba hiyo ngoma so kwenda USA nikama kujipatisha aibu ya karne
Diamond anafanya vizur lakin Kufananisha level za diamond na wizkid ni ujinga
 
Ha ha ha wizkid alijua atashindwa na diamond ndio maana akwenda..kesho tukampoke diamond amekuja na tuzo ya bet lakini amekuja na tuzo ya mabox
 
Wiz Kid anapiga mishe mishe zake kimya kimya huku akiingiza $ kimya kimya! Diamond anaimba music siyo kwa ajili ya pesa anaimba music kwaajili ya tuzo!
 
Back
Top Bottom