youngdonats18
JF-Expert Member
- Jul 7, 2015
- 685
- 444
Naona pilipili ya Naija yawawasha wabongo..endeleeni ivoivo tutafika thuuuh!!!Msanii Wizkid amethibitisha kuja Tanzania kama alivyoahidi ikiwa n moja kati ya nchi atakazotembelea around the Africa. Get ready for good music kuanzia Holla to you're boy, tease me, dance for you, Caro, show the money, in my bed, kind of love hadi Ojuelegba.
Kumbe ulisikia subiri utakaposikilizishwa utuambie...mjeuri wa africa anakuja tz nasikia jamaa alikataa kupiga pic na daimond kwenye mtv awards jeuri sana yule dogo
hapo patamu..?!kama tuzo za kijinga mbona alihudhuria south siku ya tuzo?
Or wrong!! Iko ivi wizkid atawasili tar:25/10 ili kushiriki ktk tukio la kuapishwa lowassa..!!ko litakuwa jambo jema kama lowassa atatoboa..?!Au ndo atakuja Fiesta ?
Msanii Wizkid amethibitisha kuja Tanzania kama alivyoahidi ikiwa n moja kati ya nchi atakazotembelea around the Africa. Get ready for good music kuanzia Holla to you're boy, tease me, dance for you, Caro, show the money, in my bed, kind of love hadi Ojuelegba.
Nikefurai zaidi kama wizkid angefanya rmx na #joh_makini kwa ile ngoma yake ya #nusunusu au #xo ili tupeleke music mwngine tofauti katika level zingine zakimataifa ...!!
Naishauri kamati kama kunauwezekano..
sasa kama davido kachomolewa itakua yeye daimond au coz uliiona ile pic ya SALAAM sk na wiz manager ndo mana unasema hivyo
acha uchizi we "show me da money " unaichukuliaje ile ngomaWiz kid kwa wimbo gani angechukua MTV za mwaka huu.?
soma link apo juu si umewekewa acha kutoka povuWapi kamtolea nje davido collabo soon davdio ft wiz kid ita drop wiz kid n kaka wa davido in terms of umri n mziki hawezi mfanyia mdogo wke ivyo
Wiz kid kwa wimbo gani angechukua MTV za mwaka huu.?
Last year wiz kid hakuwa na nyimbo ya kumfanya kuchukua MTV awards
Wizkid naye ni muhanga wa Davido, kila category anayopangwa nae kwenye tuzo lazima akae, anakalishwa home Nigeria hadi Internationally, Wizkid anabaki kusifiwa tu oh wewe ni mkali kuzidi Davido, unasauti nzuri.Namfananisha na Alikiba anavyosifiwa hapa Tanzania ila mafanikio hayaonekani
Kweli kabsa umeongea point davido Ana mkimbiza sn wiz kid km diamond anavyompeleka puta kiba