Wizi wa vifaa vya magari usiku | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wizi wa vifaa vya magari usiku

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mahesabu, Dec 22, 2010.

 1. Mahesabu

  Mahesabu JF-Expert Member

  #1
  Dec 22, 2010
  Joined: Jan 27, 2008
  Messages: 5,043
  Likes Received: 666
  Trophy Points: 280
  Kumeibuka wimbi la wizi wa vifaa vya ndani ya magari jijini dar...POWER WINDOW,RADIO na vinginevyo lukuki...maeneo ni MASAKI....O'BAY...MIKOCHENI...KINONDONI ...SINZA N.K
  Wanavizia sehemu ambazo wahusika walishajisahau suala la kuwa makini kutokana na maeneo kutokuwa na matukio ya wizi.....HUPULIZA DAWA ILI MLALE FO.FO FO......USHAURI...INASEMEKANA MAJI HUNYONYA DAWA HIZO AU KUPUNGUZA NGUVU YAKE.....MLALAPO WEKENI BESENI LA MAJI NALO LITASAIDIA....KUWA NA NAMBA YA POLISI (RPC,OCD,OCS e.t.c)
  ni vyema mkaanzisha vikundi vya sungusungu tena muwe na gari yenu.....KWANI WEZI WENYEWE HUTUMIA MAGARI NA PIKIPIKI
  NAOMBA KUWASILISHA
   
 2. G

  Gad ONEYA JF-Expert Member

  #2
  Dec 22, 2010
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 2,641
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Naomba usiniongezee machungu! Hata hivyo biashara hii haijaanza leo na kwa sasa imeshakomaa kutokana na hii the so called used spare parts business! Hapa ushirikiano sijui ni wa nani na nani kwani majority ya wezi wa hii kazi wanajulikana. leo katika pitapita yangu nilisikia jamaa akisimulia kwamba kuna mama mmoja aliibiwa mpaka viti vya RAV4 huko masaki, lakini tayari alishapata fununu ya wapi vilipo na the dealers wanahitaji 1m! You can see, wanavyojiamini! Solution ni competent authorities!
   
 3. Mahesabu

  Mahesabu JF-Expert Member

  #3
  Dec 27, 2010
  Joined: Jan 27, 2008
  Messages: 5,043
  Likes Received: 666
  Trophy Points: 280
  WANAJULIKANA MPAKA KWA MAJINA...PROBLEM THE LAW IS WEAK........ HUWEZI KUMKAMATA BILA SO CALLED USHAHIDI.... WHICH IS NONSENSE.....pale mtu anapokuwa ameiba, haihitaji ushahidi bali apewe haki yake
   
Loading...