C:c Eddo Kumwembe.Atayeibiwa Tv na anataka kumshughulikia mwizi wake aje PM,tumfanye kitu mbaya,haiwezekani watu waishi kwa hofu na mali zao,utakuta mijitu imejazana Dar ikiwa haina kazi za kufanya wakati wameacha mapori kijijini kwao.
Dawa yao ipo,wasengerema hao!!
Mkuu unai truck vipiIkipotea wewe kariri tu IMEI ya TV yako akiwasha tu popote pale unajua ilipo.
Wimbi la wizi wa TV FLAT SCREEN TU LMV umeshamiri sana. Kuanzia Tabata, Kinyerezi, mitaa yote ya Mbezi Louis hadi Salasala na Bunju. Wajuaji hawa wanakata grill za dirisha kuingia na kuiba. Pamoja na mikakati ya kiulinzi ambayo tunafanya naomba POLISI kwa umoja wao wachunguze hili SOKO kubwa hivi la TVs ni wapi sababu mfano jana tu nyumba 6 zimeibiwa. Wengine ambao haijawafika tujilinde na mali zetu jamani.
Kumbe zina IMEI na unaitrack vp?? Tujuze.Ikipotea wewe kariri tu IMEI ya TV yako akiwasha tu popote pale unajua ilipo.
Akikujibu tafadhali nitag. Sijajua jinsi ya kuangalia hiyo IMEI.Kumbe zina IMEI na unaitrack vp?? Tujuze.
Ungevunja ht mguu asee mkuu wangepeana habariMimi wamewahi kunipiga TV inchi 42 then nikanunua nyingine. Baada ya kama miezi 9 wakarudi tena. Siku hiyo bahati nzuri nilikuwa macho so nikawasikia kabisa wanavyoangaika na dirisha. Nikawaweka kwenye target nimdedishe moja. Wife akawaonea huruma, so nikaenda pale dirishani nikawaambia "madogo sijalala, mtakuja kufa".
Huyo mke wako bhana... dah!Mimi wamewahi kunipiga TV inchi 42 then nikanunua nyingine. Baada ya kama miezi 9 wakarudi tena. Siku hiyo bahati nzuri nilikuwa macho so nikawasikia kabisa wanavyoangaika na dirisha. Nikawaweka kwenye target nimdedishe moja. Wife akawaonea huruma, so nikaenda pale dirishani nikawaambia "madogo sijalala, mtakuja kufa".
Hahaha. Eti aliniambia alianza kuwaza jinsi mama wa huyo kijana anakavyoumia akipata taarifa kijana wake ameuliwa. Akaangalia thamani ya TV na uhai wa huyo kijana! Anaona maadam hawajaingia ndani na hakuna madhara ya kimwili waliofanya basi akaona busara ni kuwakurupusha wakimbie.Huyo mke wako bhana... dah!
ukisubiri nafasi ya kuvunja mguu utapata kazi ya kutengeneza dirisha pasua fuvu au samehe kama alivyofanya jamaaUngevunja ht mguu asee mkuu wangepeana habari
Alikua yupo sahihi,japo ungevunja hata mguu tu akaadithieHahaha. Eti aliniambia alianza kuwaza jinsi mama wa huyo kijana anakavyoumia akipata taarifa kijana wake ameuliwa. Akaangalia thamani ya TV na uhai wa huyo kijana! Anaona maadam hawajaingia ndani na hakuna madhara ya kimwili waliofanya basi akaona busara ni kuwakurupusha wakimbie.
Mchunguze mkeo anashilikiana naoMimi wamewahi kunipiga TV inchi 42 then nikanunua nyingine. Baada ya kama miezi 9 wakarudi tena. Siku hiyo bahati nzuri nilikuwa macho so nikawasikia kabisa wanavyoangaika na dirisha. Nikawaweka kwenye target nimdedishe moja. Wife akawaonea huruma, so nikaenda pale dirishani nikawaambia "madogo sijalala, mtakuja kufa".