fangfangjt
JF-Expert Member
- Apr 25, 2008
- 571
- 139
serikali haina risiti kuthibitisha kupokea zaidi ya Sh 55 bilioni kutoka kwa makampuni ya madini nchini.
Source:mwanahalisi ,page 13
Source:mwanahalisi ,page 13
Thi is interesting kama ni kweli kwa sababu kesho Rais Kikwete anatarajiwa kutoa mada juu ya umuhimu wa shughuli za uziduaji na uwazi katika mapato ya madini katika mkutano wa Kimataifa wa Tasnia ya Uziduaji, (Global Extractive Industries Transparency Initiative -EITI), ambayo ina malengo ya kuongeza uwazi na uwajibikaji katika mapato yatokanayo na uchimbaji wa madini, mafuta na gesi asilia.