Wizi wa pes Mix by YAS

Una app ya Tigo Pesa? Umesajili mastercard tigo? Ama malipo mengine yanayo tumia Tigopesa?

Cha muhimu hapo Nenda Tigo makao makuu ama ofisi kubwa ya Tigo yenye watu wanaojielewa, ujue exactly kifaa gani ama huduma gani imetoa hio Hela.

Unaweza kukuta mtu anatumia app ya Tigopesa na no yako, kaverify kidole gumba chake anagusa tu akitaka kutoa hela zako.
 
Lakn message ingerudi kwangu tuu !ama
 
Ume omba statement na ume ona hizo pesa zilipo hamishiwa je transaction zote zime hamishiwa kwa wakat Mmoja au nyakat tofaut na namba pesa ziliko enda ni hiyo hiyo ama namba tofaut ume zifuatilia na kutambia umiliki wa hizo namba!?
 
Hujawahi kumpa mtu yeyote simu yako akaichezea kwa muda?
Hujawahi kuwapa simu yako hawa wa vikoti wanaosajili line mitaani?
Km ndio, mchawi yupo hapo
 
Kwaninii wasiweke two factor verification kwenye kutoa pesa kwenye mitandao hii ya simu,,, password pekee haitoshi
 
Hujawahi kumpa mtu yeyote simu yako akaichezea kwa muda?
Hujawahi kuwapa simu yako hawa wa vikoti wanaosajili line mitaani?
Km ndio, mchawi yupo hapo
Uzuri nina ufahamu kiasi kwenye mambo ya mtandao lakini hii nimepigwa kitaalamu sana
 
Ninaposema hakuna namaanisha hakuna, mimi ninaishi peke yangu na simu yangu haiingiliki.
Kuna mchezo unachezwa kwasababu wote waliotumiwa hela tayari namba zao hazipatikani
Ni ualifu wa mitandaoni. Kuna sehemu inawezekana kuna kitu ulifanya ukawa uchi pasipo kujua. Watu wakatumia access ya app yako. Pole sana mkuu.
 
Kuna mtu alisajili lain ya lipa Hela ilikuwa inatoka kwenye acc yake kinyemela
 
Hizo link mtatumiana mnafungua unakuta umeshare screen
 
Sasa napata picha kamili, 100% nikiunganisha dot kuna michezo.
1. Jamaa yangu wa kwanza alikuta salio limepungua nmb bila msg kufika kwenye simu yake aliyounga na sms alert, alivoenda nmb kulalamika akaambiwa pesa imetilewa kwa njia ya mobile app yamkini kuna mtu anafaham pasword yake.

2. jamaa wa pili imetokea mwezi wa 7 hajawahi kuleta mzaha kwangu, ameniambia laki 6 imetoka saa 5 usiku crdb bila msg kumfikia kwa simu, kaenda kureport maelezo ni yale yale kama no 1. Hapo juu.

3. Bank ninayotumia ya Tcb walikuwa wanatuma msg za kwenda ofisini kuhuisha taarifa za mobile app mwisho tarehe 04/09/25 sikwenda kwasababu sitaki tena kutumia huduma ya mobile app.

4. Mda huu jamii forum uzi huu, nayo pia ni mobile app. Hapa kuna wajanja wanapita na pesa zetu tuwe makini na hizi mobile app.
 
Naunga mkono hoja hii, sijui watu wanaweza wezaje kuuamini huu mtandao!? Wana mambo mengi sana ya hovyo! Jina lenyewe eti Yas!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…