FAIRATTORNEY
JF-Expert Member
- Nov 24, 2013
- 219
- 61
Kama yule mwehu wa Arusha aliemnyoa mwenzie nywele. Najiuliza mumewe ni zuzu?
Huyo ukimtia adabu anaachana mumeo, mume anaenda kutongoza mwingine, nae utamtia adabu?
Sasa utadeal na wangapi??
Mijanaume yenyewe hii unalipigania,kesho unalikuta front page kwa Shigongo kafumaniwa.
Akuuu... nampenda hubby wangu, nitadeal nae yeye tu sina muda na machangu.
Wameridhiana,na wala sio ustarabu kwa mme/mke kwenda kusutana au kugombana na mtu kisa umeiibiwa mie mtu kama huyo namuona kama hafikirii,ivi unakwenda kumsuta mwanamke mwenzio KOMA KUCHUKUA WAUME ZA WATU! Khaaa!
kwanza jiulize wewe kama mwanamme kimepungua nini mpaka mumeo akaenda kwa mwenzio usikurupuke tuu,na mwanamme pia unakodisha watu naenda kumfanyiazia mara nambaka sijui namfanyaje jiulize je UNATIMIZA MAJUKUMU YAKO KAMA MWANAMME AU NDIO NYIE MNASEMA UNAULIZWA MKEO KA VAA NINI NDIO MPANGO MZIMA....
Na sahivi adhabu ni kali mweh!!!!
mwanaume akifumwa analiwa, mwanamke akifumwa anakalia chupa.....
kukalia chupa baadhi yenu mmezoea
Huwa napandwa
na hasira nikisikia eti fulani kaiba mume/mke wa fulani. Unakuta kama
ni bibie anakusanya shoga zake kadhaa waenda kufumania na kwenda kumtia
adabu vilivyo "mwizi" huyo.
Kama ni mwanaume na yeye akusanya mabest zake kadhaa mabaunsa kwenda
kumtia adabu mwizi huyo na ikibidi kumfanza yale ambayo kwa asili ya
maumbile ni mwanaume pekee anatakiwa amfanze mwanamke.
Hivi jamani jitu zima kabisa linaendesha na familia, linaijua na njia ya
chooni, halivalishwi nguo na elimu linayo eti leo hii linaibiwa,
amekuwa kuku au roba la pumba kwamba lilikutwa tu somewhere limekaa
kihasara hasara likwapuliwa.
Tubadili kauli hizi na tuanze kusema mke/mume wa fulani kafanya uzinzi
sio kaibiwa, kaibiwa wapi wakati yeye ndio katongoza au katongozwa hadi
kakubali?
kukalia chupa baadhi yenu mmezoea
tena anaweza kuikatikia kabisa.... nini chupa, siku hizi mnatafuta mipini ya jembe
Hata kuliwa viboga na nyie baadhi yenu si mmezoea...
Na sahivi adhabu ni kali mweh!!!!
mwanaume akifumwa analiwa, mwanamke akifumwa anakalia chupa.....