<br />Kwa nini uhofie wizi kwa waalimu wakuu wakati hata baraza la mitihani kwenyewe mitihani inavuja? Wizi wa mitihani Tz limekuwa jambo ambalo limezoeleka sana
<br />Mmh! mimi huwa najiuliza kwanini wanafunzi siku hiza wanafaulu sana mitiihani ya drs 7 lakini wakifika sec. wengi wao wana score zero why?