OMOYOGWANE
JF-Expert Member
- Dec 30, 2016
- 5,139
- 12,912
Mkuu iko hivi,Ebu elekeza vizuri huo wizi mkuu
Me mwenyewe CRDB card yangu imedukuliwa afu ndio naitegemea kwenye boom[emoji20] [emoji20] [emoji20] [emoji20]Mkuu iko hivi,
Leo kuna mtu alinitumia pesa kutoka kwenye akaunti yake ya NMB, na huyo mtu namjua vizuri hana dhiki wala ujanja wa mitandaoni,
Baada ya nusu saa. Ndio hilo tukio likatokea ,
Maswali niliyojiuliza
Je namba yangu wametoa wapi?
Wamejuaje kama nina pesa kwenye akaunti yangu ya M PESA?
Hapa kunauwezekano nimedukuliwa au aliyenitumia pesa mawasiliano yake pamoja na akaunti yake zimedukuliwa,
Nahitaji Maoni yenu wakuu tafadhari
Hawa watu n wafanyakazi wa hz kampuni za cm ambao co waaminifu huwa wanaangalia kwenye akaunti wanatuma message kwa wengi kubahatisha ukiwa na tamaa unaliwaMkuu iko hivi,
Leo kuna mtu alinitumia pesa kutoka kwenye akaunti yake ya NMB, na huyo mtu namjua vizuri hana dhiki wala ujanja wa mitandaoni,
Baada ya nusu saa. Ndio hilo tukio likatokea ,
Maswali niliyojiuliza
Je namba yangu wametoa wapi?
Wamejuaje kama nina pesa kwenye akaunti yangu ya M PESA?
Hapa kunauwezekano nimedukuliwa au aliyenitumia pesa mawasiliano yake pamoja na akaunti yake zimedukuliwa,
Nahitaji Maoni yenu wakuu tafadhari
[emoji23] [emoji23] [emoji23] eti Vodacom power nafanya sasa hiv watu wanevurugwa kabsa Mkuu aliye kutumia kwa NMB ndiyo mmoja wao hiyo inatokea sana hapo walitaka warudishe hela yao na wakuoige yako mbona ipo wazi mkuuHabari wakuu,
Kuna wizi wa kimtandao unafanywa na watu wenye nia ya kutapeli watu.
Leo nimepigiwa simu na mtu mwenye namba hizo hapo juu, bahati nzuri sikuwa namsikia vizuri nikamwambia atume ujumbe wa maneno (sms),
View attachment 503813
Nilipo usoma huo ujumbe , machale yakanicheza, nikastuka kuwa anataka kuniibia .
Wakuu kuweni makini.