Hivi serikali haramu iliyopora uchaguzi na kujisimika madarakani,ikauwa watu elfu 23 plus,ikawafukiwa kama mizoga ya ng'ombe iliyokufa na outbreak ya anthrax,ikatapeli uhai wa vijana na ikatapeli nafasi ya watu kupata miili ya wapendwa wao,ikakamata vijana na kuwapa tuhuma za ugaidi,na bado inateka vijana kwa kuwanyakua kama mwewe anyakuavyo vifaranga vya kuku,je serikali hii haramu itashindwa kupora bili zenu??