mkuu mi sisafiri na hizo ndege daladala,mfano mdogo tu ni kwamba last month on way from Italy to Denmark nilikaa kwenye foleni sio.mpaka nafika check inn wananambia umekosea ikawa too late boarding.by the way ni wao walichange check inn door no,ndege iliondoka ikaniacha.nikawa refunded na first class ticket na huduma zoote nilizotumia pale Belgium kwa masaa manne ilikua juu yao.
Fastjet inawezekana wana system nzuri tu,tatizo utakuta kuna kina mwajuma na sefu wafanyakazi hapo wanalazimisha kupata chochote na ndio wanaowaumiza.
Naam ila kwa sasa nimepigwa benchi...nina noma na TCAA.
Nairobian jibu swali hilo kwanza ndipo tuchangieNyuma ya huyo dogo wa 14 yrs kulikuwa na watu? Au yeye ndo alikuwa wa mwisho?
Kama hao watu waliokuwa nyuma yake walifanya nin baada ya hapo?
Unaktaa as if ulikuwapo!Wewe ni mwongo.Haiwezekani mtu akiwa kwenye foleni akaambiwa muda umeisha.
What if check in Clerk alikuwa too slow katika kazi yake?
Hilo unalolisema halipo.As long as upo kwenye mstari, au umeikuta foleni ni lazima ucheck in.
Usitake kutufanya wote humu wajinga.
za kutosha,mkuuleseni ime expire au umeshacheza faulo kadhaa?
za kutosha,mkuu
Wewe ni mwongo.Haiwezekani mtu akiwa kwenye foleni akaambiwa muda umeisha.
What if check in Clerk alikuwa too slow katika kazi yake?
Hilo unalolisema halipo.As long as upo kwenye mstari, au umeikuta foleni ni lazima ucheck in.
Usitake kutufanya wote humu wajinga.
Ulikua unaenda Mwanza, ghafla ukawa na muda...Leo asubuhi nikielekea Mwanza, nimekutana na kisa cha ajabu sana na Fastjet.
Kuna mtoto mdogo wa kiume miaka kama 14 aliyekuwa wa mwisho kwenye foleni kwenye check in kuelekea Mwanza. Ilipofika zamu yake, akafungiwa kwamba muda umepita. Huyu mtoto hakuelewa cha kufanya na kukosa ndege.
Matokeo yake kaambiwa aende kwenye desk iliyopo nyuma ya check in desks. Mbaya zaidi pale pia akaambiwa atoke nje ya Geti akabadilishe ticket. Kwa vile nilikuwa na muda, nililazimika kutoka naye nje. Huko nje pia kaambiwa alipie Tsh. 300,000. Kwa kipi, nilishindwa kuelewa kusema kweli.
Hii nchi inaendeshwa kana kwamba hakuna sheria. Mtu unanunua ticket kwa Shillingi 130,000 lakini hawajali, wana kuambia ulipie karibia mara tatu? TCAA na Ndugu Suleiman nadhani wamelala au kama wako macho, wameyafumbia macho haya.
Watanzania hii ya Fastjet tulipiganie. Huu ni wizi wa mchana kweupe!
Nairobian
mkome,
muwe mnapanda hivi videge vidogo vidogo vya wazawa
hatuna ubaguzi wala nini
kama umechelewa foleni tazara,unanipigia simu nakusubiri, mpaka ufike,bei 95,500..dar`````` mwanza``````karibu