M pesa ukitoa 10,000 unakatwa 1,500
Ndugu wana JF!
Je mnajua jinsi Bank inayosikiliza "CRDB" inavyoibia wateja wake? Fikiria kila ukitoa pesa kwenye ATM wanakata shs. 700.00. Wanasema kwa siku unaweza kutoa shs. 1,000,000.00. Lakini huwezi kutoa hiyo million moja mara moja utatoa mara tatu na kila ukitoa unakatwa shs. 700/=, kwa ujumla utakatwa shs. 2,100/=, hizo ni hela nyingi sana.
Na ujue kila mwezi unakatwa shs 1,500/= kama reja fee. Sasa huu ni wizi kama ule wa ESCROW.
Watanzania tuamke na tukatae wizi wa mchana mchana.
Naomba kuwasilisha!
Bank charges sawa, lakini mbona kila siku wanapandisha tena bila kumjulisha mteja.Jamani hizo ndo bank charges au hamjui? Hakuna free lunch. Kutoa au kutuma milion moja m pesa kiasi gani?
Niambie bank ambayo haikati hizo kodi nikajiunge mapema, maana kama NBC ndio mbaya zaidi baadhi kama si zote kiwango cha kutoa kwa mara moja ni Tshs 200,000 tu kwa hiyo kwa 1 Miln ina maana utakatwa 700*5 =3500TshsNdugu wana JF!
Je mnajua jinsi Bank inayosikiliza "CRDB" inavyoibia wateja wake? Fikiria kila ukitoa pesa kwenye ATM wanakata shs. 700.00. Wanasema kwa siku unaweza kutoa shs. 1,000,000.00. Lakini huwezi kutoa hiyo million moja mara moja utatoa mara tatu na kila ukitoa unakatwa shs. 700/=, kwa ujumla utakatwa shs. 2,100/=, hizo ni hela nyingi sana.
Na ujue kila mwezi unakatwa shs 1,500/= kama reja fee. Sasa huu ni wizi kama ule wa ESCROW.
Watanzania tuamke na tukatae wizi wa mchana mchana.
Naomba kuwasilisha!
Ndugu wana JF!
Je mnajua jinsi Bank inayosikiliza "CRDB" inavyoibia wateja wake? Fikiria kila ukitoa pesa kwenye ATM wanakata shs. 700.00. Wanasema kwa siku unaweza kutoa shs. 1,000,000.00. Lakini huwezi kutoa hiyo million moja mara moja utatoa mara tatu na kila ukitoa unakatwa shs. 700/=, kwa ujumla utakatwa shs. 2,100/=, hizo ni hela nyingi sana.
Na ujue kila mwezi unakatwa shs 1,500/= kama reja fee. Sasa huu ni wizi kama ule wa ESCROW.
Watanzania tuamke na tukatae wizi wa mchana mchana.
Naomba kuwasilisha!
Bank charges sawa, lakini mbona kila siku wanapandisha tena bila kumjulisha mteja.
Yaani watu wagundue teknolojia halafu wakupe utmie bureeee..... Hifadhi hela zako chini ya mto hutakatwa wakati unatoa kidogo kidogo.
Wengine Monthly charges zinaenda hadi 30,000/=
Jamani hizo ndo bank charges au hamjui? Hakuna free lunch. Kutoa au kutuma milion moja m pesa kiasi gani?
Inaelekea una maslahi fulani na hiyo Bank si bure,maana unaitetea kama vile wewe ndiye Kimei