Wizi: Tigo wanaiba internet bundle!

Wizi: Tigo wanaiba internet bundle!

Wambandwa

JF-Expert Member
Joined
Dec 3, 2006
Posts
2,249
Reaction score
833
Ukinunua internet bundle kutoka Tigo pesa kwenda kwenye Tigo moderm ujue utakuwa! Hupati huduma kwa masaa 24 ukinunua package kwa siku Ni baada ya saa moja na nusu utaambiwa umenakiwa na Mb 5 na kuanzia hapo net inakata!

Mbaya zaidi ukiwapigia customer service hawapokei simu yako zaidi ya ule ujumbe uliorekodiwa ukikujulisha simu yako inashughulikiwa. Huu Ni wizi, nalipia huduma nisiyopata 100%!
 
Ni kweli kabisaa
 
Tigo hawakidhi vigezo vya kuoperate hapa nchini, ila ndio hivyo tena...shamba la bibi.
 
tigo ni waizi hao jamaa nilishawahama zamani sana.
 
ni majambazi hao majamaa tena wezi kweli tcra wawachunguze hao raia
 
Ukinunua internet bundle kutoka Tigo pesa kwenda kwenye Tigo moderm ujue utakuwa! Hupati huduma kwa masaa 24 ukinunua package kwa siku Ni baada ya saa moja na nusu utaambiwa umenakiwa na Mb 5 na kuanzia hapo net inakata!

Mbaya zaidi ukiwapigia customer service hawapokei simu yako zaidi ya ule ujumbe uliorekodiwa ukikujulisha simu yako inashughulikiwa. Huu Ni wizi, nalipia huduma nisiyopata 100%!

Sijui ni pepo gani limewavaa tigo wamekuwa wezi kuliko "panga boy"!!
 
Aisee hata mie yamenikuta hayo mpaka nijiuliza bundle zinakwisha baraka hivoo hata lisaa hakuna? wakati matumizi yangu internet ni kiasi
 
Hawa jamaa ni wakundu sana.

Unajiunga kifurushi cha chuo Mara mbili mb 1000 ukiingia utube dakika tano SMS,ndugu mteja umebakiwa na mb 5.
 
mkuu sio tigo tu hata mavodacom ni majizi ya kutupwa na ukipiga customer care unakutana na mademu yanabana pua kama QUMER.
 
hawa jamaa ni wakundu sana.

Unajiunga kifurushi cha chuo mara mbili mb 1000 ukiingia utube dakika tano sms,ndugu mteja umebakiwa na mb 5.

ni kweli kabisa mkuu. Halafu kila wakituma sms wanakuambia zimebaki 5mb. Tigo ni wasengerema sana, tena sana.
 
"majizi nitayashughurikia" miaka mia nane mpk leo yapo na ulikua nayo uko uko hata kulisemea bungeni hukuthubutu. #KuRaYaNgUHuPAtI.
 
Mbona mnalia lia sana kwani mmeshikiwa bastola? Njoon Zantel ofa wanazonipa mpaka nahis kama nawaibia,, msiniulize ofa zipi wasije wakashtuka bure.
 
mkuu mimi natumia ofa za zantel sikuizi siweki ata senti full kuperuzi jf
 
Back
Top Bottom