Wizi Tengeru jijini Arusha

Tengeru? Aaaah ni hatari nakumbuka kipindi flani Nilikua nakusanya ushuru wa soko wakaniibia risiti
Tengeru sina hamu nako risiti zilikua za laki mbili
 
Mwaka juzi mmoja alikwapua simu yangu apo tengeru ila nilikua faster nikaiwahi na Mimi nikakwapua .alivyonadharau akaondoka uku anacheka.cha kushangaza watu waliopo karibu wanamuangalia tu hakuna anayechukua hatua yeyote.nilijuta kwa nini mkono wake sikuushika.angeimba aleluya
 
Kazi ya police ni ulinzi wa raia na mali zao, siyo kazi ya mbunge.
 
Haaaa nilitaka nije bora nifute safari tuuu kama ndo ivyo
Ukiwakata mikono si watakuwa wanatembea na mavi watachambaje? Watafutie adhabu nyingine
 
tengeru ata ukipandisha kioo wanavunja wanakwapua simu.

ule wizi umezidi na kibaka anaiba alafu hakimbii.

polisi fanyeni kazi acheni kazi za kuwapa lift waandishi wa habari.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] lift ya kwenda wap
 
Hahahaaa.....Hawa wanaume wa Sing'isi wakiingia shamba la anaeitwa mwekezaji ni dakika sifuri unaona vifusi na visiki

Nimekaa Tengeru kiasi fulani na ni jamaa fulani wakora kuliko maelezo....wazee wa mapanga na visu
Wameru wana LAANA. Usithubutu kuanzisha mahusiano nao.
 
Hapo kazi ni ndogo Peleka Malalamiko kwa Mshili huyu ni Kiongozi wa kabila la Wameru,Huko wana Adhabubya fimbo 70 kwa yeyote anayekiuka taratibu na maadili ya kabila hilo atashughulikiwa bila huruma.
 
Wameru wana LAANA. Usithubutu kuanzisha mahusiano nao.
Umeenda mbali sana mkuu, mimi sio mmeru lkn historia ya wameru wa sing'isi naijua sana, hicho kitongoji chao sio pure Meru bali ni Hybrid ya makabila mengi hadi kaburu.
Si kweli kuwa wameru wote hawafai japo wana udhaifu sawa na makabila mengine
 
Mkuu umepita njia tu umeshaanza kuhukumu! Je ungeshuka na hiyo simu yako ingekuwaje..?!

Kiuhalisia hayo matukio yalikuwepo kwa wingi hapo nyuma ila kwa sasa ni nadra sana kuyasikia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…