Cathode Rays
JF-Expert Member
- Nov 3, 2011
- 1,738
- 1,495
Mkuu Tengeru inaitwa soko la simu hasa siku ya j5 na jmosi...siku ya soko, wamelizwa watu wengi, kuna wezi wa simu profesheno waiba hada gari iko kwenye mwendo, ukiweka sikioni imeenda.
Jkt walisaidia sana walikuwa na mradi wa ujenzi pale Chuo cha ualimu Patandi kilichoko Tengeru stand waliwadhibiti sana.
Kwasasa kuna nafuu flani, kuna vijana wa mtaa flani unaitwa SING'ISI yaani hawafai weka mbali na jamii, polisi haingii pale kizembe ni zaidi ya hatari. Ukipata ajali na eneo la Sing'isi haijalishi ni saa ngapi mchana wew mwite Yesu mnazareth.
Hawa ni hatari sana, watu wa Sing'isi ni hybrid wamechanganya makabila kibao, ni matokeo ya manamba kutoka dodoma, singida, usukumani hata kaburu plus mmeru kidogo so ni hatari sana, na wanapendana na kulindana kuanzia mjukuu hadi babu.Hahahaaa.....Hawa wanaume wa Sing'isi wakiingia shamba la anaeitwa mwekezaji ni dakika sifuri unaona vifusi na visiki
Nimekaa Tengeru kiasi fulani na ni jamaa fulani wakora kuliko maelezo....wazee wa mapanga na visu
Kumbe ww ni chalii ya Arusha aisee mi nipo kwa mrefuuu jombaaMkuu Tengeru inaitwa soko la simu hasa siku ya j5 na jmosi...siku ya soko, wamelizwa watu wengi, kuna wezi wa simu profesheno waiba hada gari iko kwenye mwendo, ukiweka sikioni imeenda.
Jkt walisaidia sana walikuwa na mradi wa ujenzi pale Chuo cha ualimu Patandi kilichoko Tengeru stand waliwadhibiti sana.
Kwasasa kuna nafuu flani, kuna vijana wa mtaa flani unaitwa SING'ISI yaani hawafai weka mbali na jamii, polisi haingii pale kizembe ni zaidi ya hatari. Ukipata ajali na eneo la Sing'isi haijalishi ni saa ngapi mchana wew mwite Yesu mnazareth.
Jombaa siwezi ficha niko Arusha but sio chalii ya Arusha bablaiKumbe ww ni chalii ya Arusha aisee mi nipo kwa mrefuuu jombaa
Na ile mikaawa pale yan ilkuashida aseeHao machalii wa hapo noma sana, zamani kabla ya ile kambi ya jeshi kuwekwa pale watu walikuwa usiku hawawezi kushuka kule chini
Taarifa zote za comments hizo ilikuwa zamani sio Sasa mbona tunapita na magari madirisha yakiwa wazi tu na hakuna wizi wowote!!
Ila siku za soko kiukweli watu ni wengine sana mpaka barabarani huku stand kwenye lami labda ndiyo maana kondakta anatoa tahadhara na nadhani Giza likishaanza kuingia.
Na siku hizi pana traffic wengi tu kwa ajili ya magari.Ila vijana wa kimeru ni hatari sana kwa hasira hawaogopi Polisi kabisa.
Wanaume wa Arusha wanasifia wanavyoibiwa simu na vibaka.....
Polisi wamejikita kuwapa lift waandishi wa habari.Polisi wapo na Gambo wanagawana rambirambi
UmenenaWezi wengi wa Tengeru ni vijana wa Sing'isi.