We tengeru ni noma mkuuKama ni simu tu mbona sawa tu,tupate new jf members kutoka kanda ya usa river.
Uchochezi mkuuutengeru ata ukipandisha kioo wanavunja wanakwapua simu.
ule wizi umezidi na kibaka anaiba alafu hakimbii.
polisi fanyeni kazi acheni kazi za kuwapa lift waandishi wa habari.
they can't be serious for sureWezi wengi wa Tengeru ni vijana wa Sing'isi.
Mkuu Tengeru inaitwa soko la simu hasa siku ya j5 na jmosi...siku ya soko, wamelizwa watu wengi, kuna wezi wa simu profesheno waiba hada gari iko kwenye mwendo, ukiweka sikioni imeenda.Wadau wa JF habari za jioni. Nimetoka Masama Moshi kwenye mazishi ya Mama EvaGrace Emmanuel Lazaro Mwasha mke wa Askofu mstaafu wa kanisa la TAG. lakini ajabu tulivyofika TENGERU basi zima tumetangaziwa kuwa makini na wezi wa simu na vitu vingine kwa abiria. Hii imenitokea mara nyingi sana nikisikia Tahadhari hii. Nyie watu wa TENGERU badilikeni kwa kweli. Mkuu wa wilaya ya Arumeru Alexander Mnyeti na mbunge Joshua Nassary je hamuwezi kufanya kitu kuondoa Sifa hii mbaya kwa eneo hili, jini la Arusha na Tanzania kwa ujumla? Maana hata watalii wengi "wamelizwa" Mali zao hapa.
Nawasilisha!
Umeona eeePanaitwa "kwa Benson"
Wezi wengi wa Tengeru ni vijana wa Sing'isi.