wizi nomer

wizi nomer

Rog3rz

Member
Joined
Jun 21, 2012
Posts
44
Reaction score
26
Jason alikuwa kortini,jaji akamwuliza kosa
lake, "Jason,umefanya kosa gani?"Jason
akajibu, "nilikamatwa nikifanya shopping
asubuhi na mapema."jaji akashangaa, "hilo
ni kosa kivipi"Jason akasema, "nilikuwa
nafanya shopping kabla hawaja fungua duka!"
Hehehe Amakweliii
 
Hii ni kwikwi. Inanikumbusha kipindi flan dito aliwahi kufumaniwa na mke wa m2 kule temeke aka-escape kwa kuruka ukuta. waandishi walipomuuliza, kwanza alikanusha. alipoulizwa sasa kwanini alikimbia, akawajibu "MIMI SIKUKIMBIA ILA NILIONDOKA KWA KASI PALE"
 
Back
Top Bottom