Wizi na Uongo wa Airtel Tanzania

Wizi na Uongo wa Airtel Tanzania

Ta Kamugisha

JF-Expert Member
Joined
May 17, 2011
Posts
3,547
Reaction score
2,194
Wana Jf Mimi ni mtumiaji mzuri wa Airtel Tanzania, Internet na Simu vyote natumia Airtel,

Rejea tangazo lao la ukipiga dk 2 za mwanzo baada ya hapo wanakukata sent kumi, kwanza nimepiga simu kwa dk 4 na Sek 57 na wamenikata Tsh 787, nkashituka ila nkachukulia poa may b nimeunganisha bila kukata.

Nkapiga tena simu kwa muda wa dk 8 sek 46 then wakanikata Tsh 1247, jamani ebu wanaofahamu Hii promo wanayotangaza inamaana gani kama makato yenyewe hayana formula? Kama wanabisha watrace no yangu inaishia na ...808844.

Kuanzia leo nimeamini kuwa Airtel si wakweli na matapeli, wapo kwa ajili ya kutuibia na sio vinginevyo.

Naomba kuwasilisha.
 
naona huko accurate katika figures.....hutaki kuibiwa..hamia voda..univ promo nala 500mb 500sms na 50 dakika..kwa sh 500 tu ..dakika wala sms sigusi hata moja...zangu ni mb tu
 
Mkuu hawa Jamaa matapeli c mchezo, anzia matangazo yao ya Airtel Money ndo utajua kuwa hawa Jamaa n zaidi ya Matapeli! Alikuwa wanatanhaza kuanzia 0 mpaka 99,999 hukatwi chochote, sasa mkuu kajaribu huone balaha lake!
Muda c mrefu ntawahama
 
Tatizo wanatudanganya kama watoto wadogo hapo ndipo inapouma.
 
naona huko accurate katika figures.....hutaki kuibiwa..hamia voda..univ promo nala 500mb 500sms na 50 dakika..kwa sh 500 tu ..dakika wala sms sigusi hata moja...zangu ni mb tu
unijiungaje ttoa maelekezo tuamie
 
naona huko accurate katika figures.....hutaki kuibiwa..hamia voda..univ promo nala 500mb 500sms na 50 dakika..kwa sh 500 tu ..dakika wala sms sigusi hata moja...zangu ni mb tu

Mkuu uanfanyaje kupata hii ya VODA maana hata mimi nishaumizwa na Airtel.
 
Airtel sasa hivi wamekuwa waongo. Gharama zao ni kubwa mno. Sasa hivi siwahitaji kabisa waje wachukue sim card yao sina matumizi nayo.
 
Sio airtel tu, watoa huduma haizi za mawasiliano wote wa tanzania ni wezi wezi tu.
Hakuna aliye mkweli, wanachosema sio wanachowapa wateja
TCRS na profesa wao wamelala usingizi na badala yake wamegeuka mawakala wa kutetea wizi unaofanywa na kampuni hizi

Moja ya tiba ni kama hivi ulivyofanya, mtumiaji anapogundua udanganyifu aweke ushahidi hadharani na kutaja kampuni husika wazi wazi

Wana Jf Mimi ni mtumiaji mzuri wa Airtel Tanzania, Internet na Simu vyote natumia Airtel,

Rejea tangazo lao la ukipiga dk 2 za mwanzo baada ya hapo wanakukata sent kumi, kwanza nimepiga simu kwa dk 4 na Sek 57 na wamenikata Tsh 787, nkashituka ila nkachukulia poa may b nimeunganisha bila kukata.

Nkapiga tena simu kwa muda wa dk 8 sek 46 then wakanikata Tsh 1247, jamani ebu wanaofahamu Hii promo wanayotangaza inamaana gani kama makato yenyewe hayana formula? Kama wanabisha watrace no yangu inaishia na ...808844.

Kuanzia leo nimeamini kuwa Airtel si wakweli na matapeli, wapo kwa ajili ya kutuibia na sio vinginevyo.

Naomba kuwasilisha.
 
hawa watu wanazidi kupotezwa eti...
k9vrr06ye4ntk88jhbpg.png

nilitegemea meseji isomeke kama ile ya voda..
HONGERA!!!UMEZAWADIWA INTERNET UNLIMITED BUUUUUURE KWA WIKI NZIMA.. lol
 
Back
Top Bottom