Furahia dk 60 Voda-Voda kwa Tsh 200 tu, zitumike ndani ya saa 1 kuanzia uliponunua.Unaweza kujiunga mara nyingi upendavyo (12asb-11jioni) Kujiunga piga*147*200#
Wezii sanaa...mie juzi kati nililia kifipa...nimejiunga hiyo ya miambili dani ya dakika tatu eti ofa imeisha kuja kucheki salio wamekula mpaka balance iliyokuwepo...
Ingekuwa kuna sehemu naweza, kuwa Nanii vodacom ningewananii tu,
bado vimaswali vya kipumbavu hawajaacha ndo wanaamia huko tena,
vodacom namba yenu 15544 iache KUNISUMBUA.
wote wezi tu hasa tigo nishawahama mimi japo nomeathirika sana kwani idadi ya wadau wengi wapo tigo no way huu ni wizi wawaziwazi kama upo smart katika msg.