Wizi mtupu!!!:/

Wizi mtupu!!!:/

japhet nkwabi

Member
Joined
Mar 8, 2013
Posts
91
Reaction score
16
siku hizi kila demu unaemtokea ukimuuliza una mtu anakataa anakujibu nilikua nae ila tumeachana sitaki hata kumuona kumbe anataka aongeze mpz mwingine tu wala hajaachwa,WIZI MTUUUUP ACHEN HZO UKIMWI UPO NA UNAUA
 
Kuna mtu alikutuma UKATONGOZE ........!
Na wewe acha vuvuzela mtongozo basi ...........!
 
siku hizi kila demu unaemtokea ukimuuliza una mtu anakataa anakujibu nilikua nae ila tumeachana sitaki hata kumuona kumbe anataka aongeze mpz mwingine tu wala hajaachwa,WIZI MTUUUUP ACHEN HZO UKIMWI UPO NA UNAUA

Kaka sasa wewe umeenda kumtongoza ukijua yuko na fulani sasa ulitaka akujibuje..Zamani walikuwa wanavaa hata pete za ndoa wakidai kuwa wanapunguza foleni au utasikia mimi mchumba wangu yupo masomoni..baada ya muda pete inatoka taratibu inafichwa mbali hata huioni tena..Sasa baada ya kuona hiyo fasheni inawaweka kweli mbali na wanaume sasa wamekuja na style ya ukweli kuwa hana ..sasa nini unalalamika boss..we endelea hutakiwi kujua kama kiti kilishawahi kukaliwa wewe chukulia wewe ndio kwanza umekifungua makaratasi basssssssssss
 
duh!kweli mademu wana kazi
 
makubwa!!!!!!!!!
kama ulijua yote hayo kwa nini unaenda kumtongoza!!!!!!!!
 
  • Thanks
Reactions: awp
siku hizi kila demu unaemtokea ukimuuliza una mtu anakataa anakujibu nilikua nae ila tumeachana sitaki hata kumuona kumbe anataka aongeze mpz mwingine tu wala hajaachwa,WIZI MTUUUUP ACHEN HZO UKIMWI UPO NA UNAUA

kwani kuongeza mtu vibaya?
 
  • Thanks
Reactions: awp
siku hizi kila demu unaemtokea ukimuuliza una mtu anakataa anakujibu nilikua nae ila tumeachana sitaki hata kumuona kumbe anataka aongeze mpz mwingine tu wala hajaachwa,WIZI MTUUUUP ACHEN HZO UKIMWI UPO NA UNAUA

weee utakuwa kaka ake misoji na nshoma nkwabi,....tehtehtehteh
 
Back
Top Bottom