elmagnifico
JF-Expert Member
- Jul 7, 2011
- 8,260
- 9,747
Msafara wa kenge hawakosi mijusi,Mwizi anajulikana kwa kauli zake
Wadau poleni na majukumu ya kila siku.
Kampeni hii ni maalumu kabisa ili kuweza kumwokoa Mtanzania anayeibiwa na kampuni hii ya mawasiliano inayowaibia wananchi mchana kweupe kabisa wizi wao ni huu, ukiweka salio labda 500 kabla haujajiunga wanakata kama shilingi 20 hadi 40 , unaweza kuweka pesa ili ujiunge na Kifurushi halafu pesa ipo wanakueleza haitoshi lakini pia kukuunganisha na huduma zao za kulipia kwa lazima bila hiyari yako hivyo tuwahamasishe ndugu zetu wahame hii Kampuni hawana adabu kwa wateja wao.
ww ndio Kenge maji kweli kweliSijutii kuwa mteja wa kampuni yoyote ya simu Tanzania,HASAHASA VODACOM
Hayo matatizo munayapata kwa kutokuwa makini.
Mods futa hizi pumba muende ofisini kwao si mnapajua, mumetuchosha Arrghh
Hakuna siku utaishinda voda mahakaman,ilo sahau kabisaaa.Ni kampuni iliyojipenyeza kwa njia ya rushwa kubwa kwa wanasiasa ktk nchi za africa.
Wanahuduma nyingi za makato kwa wateja na hazina maana/umuhimu.Udhalim wanaofanya ni kuingia mkataba na kampuni nyingine (third parties) ambazo wateja hawazijui.Hata ukifungua kesi, kampuni zinazotoa huduma hizo kupitia voda ndizo zinazohusika!Mfano ni starfish mobile~wanahusika na kutoa sms za michezo,mapenzi,nyota.NI ZANTEL PEKEE HAITUMII T/PARTIES.
Tatizo kaka voda wana kata hela hata kama una tumia simu ya touch. Na ukuwauliza hawana majibu ya kulizisha sasa hapo kwa nn watu wasilalamike.binafsi katika mitandao ya simu ya Tanzania ninapenda vodacom, labda ni sababu sijawahi kumbwa na hayo matatizo ya wenzangu.
Ukitaka weka salio disable internet ukishajiunga na bundle enable internet maana ukiweka salio bila ku disable internet kuna apps kama whatsapp, push email n.k zinazotumia internet muda wote utakuta zimekula ela kidogo kwa ajili ya internet.
Mpesa kwangu ndiyo huduma bora compared na tigo pesa na airtel money maana nishafanya blunder mara kibao ya kukosea kutuma ela uwa nikiwapgia haraka wanapokea na wanarudisha ela yangu within 24hrs tofauti na tigo ambao kwanza kupokea hawapokei na wakipokea wanauliza kama uko kwa wakala ukijibu hapana basi ndio usahau hiyo ela hupati ng'o utapigwa dana dana mpaka ukate tamaa kila siku waambiwa utatumiwa na hutumiwi.
Internet ya vodacom iko safi kwa maeneo mengi na pia kile kifurushi chao cha buku cha internet bila kikomo ukijiunga wala internet gbs hata 8.
Jiepushe kukubari kujiunga na huduma usizozijua mimi sijiungi na huduma yoyote nisiyo ijua na uwa sijiungi na promosheni za kijinga jinga.
Sijutii kuwa mteja wa kampuni yoyote ya simu Tanzania,HASAHASA VODACOM
Hayo matatizo munayapata kwa kutokuwa makini.
Mods futa hizi pumba muende ofisini kwao si mnapajua, mumetuchosha Arrghh
Kwa taarifa ni kua wanakata pesa hadi kwa wanaotumia simu za tochi hawafai tuwahame haraka sana na nashukuru binafsi nimehamisha watumiaji 30 mpaka sasa
Mi niliishalalamika kwa kuandika email TCRA baada ya vodacom kuniibia laki moja ndani ya masaa 24. Sikuwahi kujibiwa email yangu nikajua hii ni kampuni ya "wakubwa". Watakuja mwakani kuomba kura zako uwape urahisi.
Ilitakiwa fedha yoyote tunayokatwa na vodacom kwa sababu zozote lazima ije na notification au niulizwe kwanza but wao wanakata bila ridhaa ya mwenye fedha, huo ni wizi
Kwa taarifa ni kua wanakata pesa hadi kwa wanaotumia simu za tochi hawafai tuwahame haraka sana na nashukuru binafsi nimehamisha watumiaji 30 mpaka sasa
Sijutii kuwa mteja wa kampuni yoyote ya simu Tanzania,HASAHASA VODACOM
Hayo matatizo munayapata kwa kutokuwa makini.
Mods futa hizi pumba muende ofisini kwao si mnapajua, mumetuchosha Arrghh
Exactly! Km unatumia smartphone yoyote hakikisha kabla hujaweka salio ume-SWITCH OFF MOBILE DATA. Ukiacha ON lazima ukatwe tu as internet charges.
Mim huwa siweki hela voda,nikupokea tu,mara ya mwisho nimeweka mwezi june mpaka leo,tena niliweka jiti tatu...