Hata mimi alinianza nikiwa kazini baradhuli hili likaniungia mpaka nivofika home.Aisee hii isue ni kweli. Hata mm ilinikuta bahat nzuri nilikuwa job.
Pole sana boss,Sijatoka leo, Sijaenda hata kazini, bado nimelala tu yaani ni aibu yangu ya mwaka hii
yatapita tu wala ucjal tumeubwa kusahau na utasahau maisha yataendleaSijatoka leo, Sijaenda hata kazini, bado nimelala tu yaani ni aibu yangu ya mwaka hii
Ishu ilikua hivi, Yeye alifanya video calling akiwa anajichua, akaniomba na mi nimwonyeshe dick ili aweze jichua zaidi akati mi nafanya hivyo kumbe ye alipress record, baada tu ya video calling kuisha akanitumia ile video aliyorecord na kuniambia hakuwa mwanamke bali aliniwekea video ya mwanamke. it is very tricking kwakweli na dhumuni alikua akitaka hiyo nudity yangu ili anikamate apate pesa toka kwangu.Pole sana boss,
Mimi nina maswali ..hizo video za wewe ukijichua yeye amezipata wapi au ushafanya naye video call mkifanya hayo mambo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ishu ilikua hivi, Yeye alifanya video calling akiwa anajichua, akaniomba na mi nimwonyeshe dick ili aweze jichua zaidi akati mi nafanya hivyo kumbe ye alipress record, baada tu ya video calling kuisha akanitumia ile video aliyorecord na kuniambia hakuwa mwanamke bali aliniwekea video ya mwanamke. it is very tricking kwakweli na dhumuni alikua akitaka hiyo nudity yangu ili anikamate apate pesa toka kwangu.
hahaa, ulitisha mkuu. eti unahitaji kuwa maarufu, huyo jamaa alikoma 😀. Kama huyu mleta mada angalijua bora angekucheki kwanza ushare naye experience, kabla hajauonyesha mkuyenge wake live.🙄Mimi ilinitokea tofauti kidogo .
Jamaa alijifanya ni kiongozi wa freemason hivyo anataka kuniunganisha akanitumia form ya kujaza.
Kuna kipengele kinahitaji uweke nude pictures. Nikichofanya nikaenda huko kwenye mitandao nikadowload picha inayoendana na rangi Yangu ya mwili.
Nilivyomtumia akaja na hizo habari za kusema nimtumie hela ili asizisambaze picha zangu.
Nilimwambia nahitaji kuwa mtu maarufu so ukizisambaza lengo langu litatimia.
Hakurudi tena wala sijaona akizisambaza zile nude pictures.
Usawa wenyewe huu jiwe nani atume hela kizembe hivyo.
Sent using Jamii Forums mobile app