Wizi mpya wa mtandao.

Japo ni chai

Lkn katika maisha yangu siwez muonyesha mtu nyeti zangu online.. Hata wangu mchumba hajawah kuona iwe kwa video call or pictures...


Akitaka aje live tukutane

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama ni kweli mtoa mada inabidi ujipime ubongo wako kama uko sawa
 
Duh pole sana
Mimi nina maombi kwa mamia nimewaacha wakae huko as siwajui na no public posts

Muwe mnaficha list za fb friends uone mwenyewe ndio mwendo huo inasaidia kupunguza wachunguzaji.. na settings kibao kuna watu nimewablock wasione yangu kabisa ila inawaonyesha bado nina urafiki nao fb.
 
Ndio maana mm mwaka jana nimefuta acnt yangu ya FB.


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
mie mtu nisiye mfahamu fb huwa sina(ga) stori nyingi kuna wa filipino na habari zao biashara ya mtandao

wanaijeria na habari zao za uganga nawaangalia(ga) tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…