Majaribu2013
JF-Expert Member
- Jul 3, 2013
- 952
- 1,050
Hii nchi hata kama imeuzwa imefikia kubaya. Sasa Mpesa wamekuja na huu wizi mbaya kabisa. Kwenye simu yako unasalio la Mpesa tuchukue mfano Tshs 500,000/= Unataka kutoa Tshs 100,000/= Watakujibu hivi:-
Samahani salio lako halitoshi kutoa Tshs 100,000/= salio lako ni Tshs 500,000/=
Ni zaidi ya kichefuchefu.
Kama kuna mtu anaweza kunisaidia tuwafungulie kesi mahakani hawa washenzi wamenirisha hasara kubwa sana kwa huu upumbavu wao.