Hapo mlimani kulikwepo wanachuo wawili me na ke hao walikuwa maprofesiono.Wanazunguka vyuo vyote Vya Dar.
Muwe makini sana kipindi hiki.Wanachuo ndo wanachonga dili ili kufanikisha wizi.Ni kama wizi wa Benki ulivyo.
Wekeni ulinzi mkamate mwizi.
Nilitaka kusema kamateni mwizi mchome lakini roho wa Bwana akanikumbusha kwamba tusihukumu