Wizi kwenye simu.

Emc2

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2011
Posts
16,808
Reaction score
16,951
Wana JF sijajua sehemu ya kuipost hii thread. Jamani kumetokea wezi kwenye simu. Utabipiwa namba inayoanzia +88 ndugu usijaribu kupiga maana hata kama una sh 100000 kwenye simu yako itaisha pale pale.

Muwe makini.
 
Funguka zaidi pesa hiyo ni kwenye MPESA/Tigo/Aittel au Air time????? Hii sasa noma
 
hiyo ni namba ya nje ya nchi na wala sio wezi wala nini .. Imeingia kwenye simu yako kwa bahati mbaya wewe ukaitwangia kijana so ndio maana salio lako likayeya
 
hiyo ni namba ya nje ya nchi na wala sio wezi wala nini .. Imeingia kwenye simu yako kwa bahati mbaya wewe ukaitwangia kijana so ndio maana salio lako likayeya
Wewe code number ya nchi gani inaanzia na +88 jaribu kugoogle wewe!
 
Satellite call huwa ni expensive sana na mara nyingi huwa zinawekwa katika maeneo ambayo hayafikiki kiurahisi kama kwenye makambi hivyo huenda ulipojaribu kuipiga ikapokelewa salio lako likaisha lote
Mkuu sasa hivi nina watu zaidi ya kumi wanalalamika hivyo na leo tu nimeingi ofsini kunajamaa kaja kwangu kaniambia kapigiwa simu hiyo na akaamua kuipiga alipopiga simu ikakata alipoangalia salio ni 0 na alikuwa na sh 10000 kwenye simu yake. Ikabidi niipost hii isue hapa jamvini kwa moyo mweupeeeeee.
 
Acha ubishi .. Hakuna cha wizi wala nini.... Iyo ni satelite call ni expensive sana kupiga... Kama ulikuwa hujui elewa
 
Akina Tomaso ruksa kujaribu kupiga halafu watujuze kilichowapata
 
Wadau namba yenyewe hii hapa jaribuni wenyewe +881842011294. Anayetaka kutest ruksa
 
Ok tumekupata na mie nikipigiwa na hiyo namba sipigi
 
nimetoka kuongea nao ni waunguana tu.. ni customer care
 
Wana JF sijajua sehemu ya kuipost hii thread. Jamani kumetokea wezi kwenye simu. Utabipiwa namba inayoanzia +88 ndugu usijaribu kupiga maana hata kama una sh 100000 kwenye simu yako itaisha pale pale.

Muwe makini.

Asante kwa taarifa..
 
namba ya kuomba utajiri kutoka bermuda triangle ni 0772555555555555555.... wanaongea lugha unayoongea wewe, tupeane feedback wakuu. tano zinakua kumi na tano na kuna mshikaji nilimpa alipiga simu ikawa haipokelewi hakukata tamaa, sasa hivi anakula bata na hela za majini kutoka Bermuda Triangle chini ya Bahari ta Atlantic...
 
Ukitest lete feedback poa jamani. Usikae kimya tu.
 
Sasa na wewe ukikuta missed call ya namba usiyoijua, unai-bip ili iweje? Kama ni mtu anakutafutia jambo la maana si atapiga tena?
Ukitest lete feedback poa jamani. Usikae kimya tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…