Kila kona wizi,huko mwalimu Nyerere watoto wamepata 100% ya mkopo na ada wanalipiwa yote ila wameambiwa lazima walipe ada ya awali.
Wamefanya medical examination za uhakika huko walikotoka lakini wamefika chuo wanaambiwa walipe hela chuoni then fomu tu inajazwa bila vipimo.
Aloo hili li-nchi hovyo hovyoooooo