Hakuondoka nayo ila alikua serious kabisa na alisema alishaondoka na glass za Heineken nyingi anazo home...nilimshangaa sana nadhani hadi alijiskia vibaya..mi pia nilimdharau tangu cku ile nikawa namuona mtu tofauti sana na anavyoonekana..sasa ndio umenielewesha