Labda hyo dawa ina exemption.TRA tafadhali toa namba za kuwasiliana nanyi tuwape taarifa za wakwepa kodi.
Mimi juzi nimepewa risiti kwenye duka la dawa. Nilipoiangalia nikiwa nimeshaondoka penye kiwango cha VAT=ZERO.
TRA tafadhali toa namba za kuwasiliana nanyi tuwape taarifa za wakwepa kodi.
Mimi juzi nimepewa risiti kwenye duka la dawa. Nilipoiangalia nikiwa nimeshaondoka penye kiwango cha VAT=ZERO.
Hujaibiwa bali hiyo bidhaa uliyonunua ipo kwenye class ya zero rated product yani vat imetolewa kwa mtumiaji wa mwisho na mostly wana target bidhaa inayowakuta wanyonge wengi.TRA tafadhali toa namba za kuwasiliana nanyi tuwape taarifa za wakwepa kodi.
Mimi juzi nimepewa risiti kwenye duka la dawa. Nilipoiangalia nikiwa nimeshaondoka penye kiwango cha VAT=ZERO.
Auweke mezani ushahidi wakeUshahidi wa risiti na invoice?
Umechukua maamuzi gani baada ya kupewa hiyo risiti?
Naamini wafanyabiashara hawalalamiki kuhusu hiyo hali
Wewe si mmoja wao
Huenda hiyo dawa ina msamaha wa kodiTRA tafadhali toa namba za kuwasiliana nanyi tuwape taarifa za wakwepa kodi.
Mimi juzi nimepewa risiti kwenye duka la dawa. Nilipoiangalia nikiwa nimeshaondoka penye kiwango cha VAT=ZERO.
Hujaibiwa bali hiyo bidhaa uliyonunua ipo kwenye class ya zero rated product yani vat imetolewa kwa mtumiaji wa mwisho na mostly wana target bidhaa inayowakuta wanyonge wengi.
Pindi bidhaa inapouzwa mwenye duka anaruhusiwa ku claim vat serikalini
Pia kuna possibility bidhaa hiyo iko exemped kabisa na vat kwahiyo hata wakati wa kuingiza bidhaa hiyo hailipiwi kabisa vat na mwenye duka haruhusiwi kudai au claim vat serikalini (TRA)
Asante
Nani kakwambia dawa inalipiwa VAT au umekariri tu neno VAT?TRA tafadhali toa namba za kuwasiliana nanyi tuwape taarifa za wakwepa kodi.
Mimi juzi nimepewa risiti kwenye duka la dawa. Nilipoiangalia nikiwa nimeshaondoka penye kiwango cha VAT=ZERO.
yanakuhusu nini hayo,mbona escrow mlikamuliwa vilivyoJamani ebu nisaidieni, kweli Serikali inalijua hili?
Kariakoo ukinunua kitu cha thamani ya Mil 2 unapewa risiti ya laki tatu tena na kufokewa juu! Jamani huu si ni wizi?
Serikali itafanya nini kudhibiti hili?
Jamani ebu nisaidieni, kweli Serikali inalijua hili?
Kariakoo ukinunua kitu cha thamani ya Mil 2 unapewa risiti ya laki tatu tena na kufokewa juu! Jamani huu si ni wizi?
Serikali itafanya nini kudhibiti hili?
mkuu hapo naomba ufanunue namie nijue kidogo maana kila nikijaza mafuta petrol napewa risiti with zero VAT.....help me MkuuSiyo kila Mashine inatoza VAT
Mkuu, juzi Kati nimeenda duka moja la vipodozi kariakoo nimenunua dawa 3 za mswaki nikapewa risiti ya efd imaendikwa Eti nimelipia 75000/- shs wakati dawa moja inauzwa 2500/- shs. Nikapewa risiti nyingine pia ambayo ina ukubwa tofauti na ile ya efd kwa pamoja ambayo Bahati mbaya sikuisoma imaendikwa nini. Nilipofika getini mhudumu alipiga mhuri ile nyingine na kuninyang'anya nikaachiwa ile ya 75000/- shs. Kuna kamchezo flani sio bure.
unatakiwa kuwa na ujasiri wa kuhoji, sio kukubali tu kila kitu. jukumu la kujenga nchi ni letu sote, tusiiachie serikali .
Hauko serious mkuu huwezi nunua bidhaa ya 2m harafu ukapewa receipt ya laki 3 ukaridhika eti kisa umetukanwa? Swali la kwanza hyo bidhaa ilkuwa inapatkana duka hilo peke yake kwamba usingeweza kuipata duka jingine? Kama ndivyo ulishindwa kutoa taarifa police juu ya wizi huo? Maana we ndiye uliyeibiwa au ulitaka TRA waote ndoto juu ya uharifu huo?Jamani ebu nisaidieni, kweli Serikali inalijua hili?
Kariakoo ukinunua kitu cha thamani ya Mil 2 unapewa risiti ya laki tatu tena na kufokewa juu! Jamani huu si ni wizi?
Serikali itafanya nini kudhibiti hili?