WANA JF,
Jamani nilikopa na ilipobaki miezi 3 nilitopup mkopo kwa masharti ya kawaida kuwa lazima nilipe balance kwa mkopo mpya na kuwa fedha itakayoingia ya ile balance niliyolipa itarudi kwenye akaunti yangu au watasimamisha makato hazina na kuanza kukata mkopo mpya.
Cha ajabu niliendelea kukatwa na fedha haikurejeshwa kwenye akaunti na walipomaliza wakaanza kukata upya mkopo mpya.nikiwauliza naambiwa imelipia mkopo mpya ambao nilishalipa kwenye pesa ya mkopo mpya.
Nimekomaa wakanijibu nilikuja na shida sasa shida imeisha nawasumbu
NAOMBA USHAURI WENYE UZOFU HAPA JF.:nimekataa