Wizi airtel

Wizi airtel

Mataba

Member
Joined
Apr 29, 2013
Posts
5
Reaction score
0
Wizi airtel.Nipale unapokuta line yako imefungwa na ianatumika na mtu mwingine, ikituma ujumbe wa kuomba pesa kwa watu unaowasiliana nao. Ajabu ukitoa taarifa ofisi za airtel wanafunga namba hiyo, baada ya muda namba hiyo inaendelea na utapeli huo, ukiwauliza wanasema hata wao hawaelewi. Je yawezekana mtu nje ya airtel kutambua namba za watu unao wasiliana nao? :shocked:
 
Dawa ya hii mitandao ni kuachana nayo tu, kila mtandao inaonesha ina kasoro.
 
Back
Top Bottom