Wizara zinazofutwa hadharani

nami najuta kwa nini kura yangu niliipeleka kuleeee kwa hasira ya kuchoka umangimeza wa chama kubwa

Asante sana wewe hujachangia kuchaguliwa kwa magufuli lakini umechangia kwenye kasi na ari ya kutimiza ahadi aliyoingia nayo magufuli. Ile kampeni haikuwa yakitoto, na ukiona mtu mwenye tuhuma za ufisadi na ugonjwa kapata kura milioni sita ujue ni kutimiza ahadi au kufungasha mikoba baada ya miaka mitano. Asanteni sana ukawa ninyi ndio chachu ya haya yote tunayoyaona
 
Huku ni serikalini, usifikiri kwa wahindi. Ndio raha ya kuajiriwa serikalini

Wewe nyumbu nenda kaulize nduguzako wa NHC walivyofanywa (kumbuka hiyo ilifanyika wakati wa Mkwere)...hapo ndo utajua kuwa serikali ni ya wahindi au baniani
 

Hapo kwa WATENDAJI VIJIJINI na WENYEVITI wa vijiji... Hapo umenena mkuu maana yake ni ufuatiliaji kuanzia chn mpaka juu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…