zifutwe tu hamna namna. wizara kibao cha maana hakionekani
Dr hamis kingwa asikose kwenye baraza lako plz...
nimekuelewa sawa ndugu minyoo hiyo wizara apewe mtu mwenyewe uwezo pia anayejua umuhimu wa michezo. tunataka tuone mafanikio ya kweli. hao wawili wote hawafai kabisaWizara ya michezo iwe wizara ya peke yake asichanganye na mambo mengine kama anataka michezo ikue kwa kasi, pia asimteue Nape kuwa Waziri wa Michezo kama tetesi zilivyozagaa na asimrejeshe juma Nkamia kama tetesi zingine zinavyosema, wizara ya michezo Safari hii awekwe Waziri mwenye kupenda maendeleo ya michezo na awe na speed kubwa.
Kushuka kwa michezo kuna uhusiano mdogo na Wizara. Mi ningependa iwe idara tu na sio wizara.Wizara ya Michezo iwe peke yake iwe kama wizara ya fedha, wizara ya maji yaani michezo iwe na wizara ya pekee isichanganywe na vitu vingine kabsa. Hii itasaidia michezo kukua kwa kasi kubwa.
Magufuli ni kusudi la Mungu!
walikuwaBendera na Nkamia hawakuwa watu wa mpira?
walikuwa
Abarikiwe aliyefanikisha ushindi wa Magufuli.
Hata kama ni Lubuva.
wamefanya kitu. kwa mda huu hakuna kuangalalia nyuma tunataka mipango ambayo itainua michezo ya taifa letuWameifanyia nini michezo?
Wizara ya Michezo iwe peke yake iwe kama wizara ya fedha, wizara ya maji yaani michezo iwe na wizara ya pekee isichanganywe na vitu vingine kabsa. Hii itasaidia michezo kukua kwa kasi kubwa.
Kikwete anajisikiaje.
bavicha hawawezi kumsahau kikwete,ha ha ha,,anyway kila rais na style yake,Kikwete anajisikiaje.