Wizara za utaliiafica mashariki.- utalii wa wanyama unaporwa

Mtazamaji

JF-Expert Member
Feb 29, 2008
5,937
1,437
Longleat, the first Safari Park outside of Africa but still one of the best! At least, that’s what the judges of the South West England for Excellence Awards think as Longleat has recently been announced as one of the finalists in the Large Visitor Attraction of the Year (over 50,000 visitors a year) category. ......

source Longleat - As featured on BBC's Animal Park

Wito mawaziri wa utalii afrika mashariki

  • unganeni kupga marufuku kuuza wanyama hai nje
  • Kama kuna ulazima basi wanyama hawa tukuwakodishe may be $ 20(Twiga)40$ (sokwe) kwa kila siku mnyama atakayokuwa zoo huko ulaya
  • Tuingie mikataba ya haki miliki ya wanyama watakaoaliwana wanyama tuliowakodisha
Tunazubaa utalii wetu wanahamishia kwao.
 
Back
Top Bottom