Wizara ya vijana lengo lake ni kuwaongezea nguvu chawa

Jokeri112

JF-Expert Member
Joined
Apr 14, 2025
Posts
307
Reaction score
572
Salut kwenu great thinkers wa jukwaa hili la JF.

Binafsi hii wizara mpya inayoitwa wizara ya vijana naona lengo lake ni kuwapa nguvu vijana wajinga kama Lucas Mwashambwa waendelee kusifu madudu yanayofanywa na serikali.

Rai yangu kwa vijana wenzangu, tusikubali kabisa kutolewa kwenye relief na cheap propaganda zinazoendelea nchini Wala kuwa excited na hii wizara ya vijana, IPO kwaajili ya kitupumbaza focus yetu ni December 9.
 
Kwahiyo inabidi wajenge majengo mengine ,waajiri katibu na wafanyakazi kibao wa hiyo wizara au wata-attach wizara nyingine kwanza?
 
Vijana hawaitaji wizara vijana hawaitaji siasa maisha yao si ya kuanza kuwauliza uliza mnajiwa wanaitaji nini it is urgently thing iyo wizara ni ushuzi
 
Kwahiyo inabidi wajenge majengo mengine ,waajiri katibu na wafanyakazi kibao wa hiyo wizara au wata-attach wizara nyingine kwanza?
Exactly chief! This is non sense, kipaumbele chetu sio VIZARA. ni katiba mpya, tume huru ya uchaguzi ili na sisi tuishi maisha ya akina WANU na ABDUL
 
Back
Top Bottom