Wizara ya Mindombinu na UOZO... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wizara ya Mindombinu na UOZO...

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mtanzania haswa, Mar 6, 2011.

 1. Mtanzania haswa

  Mtanzania haswa JF-Expert Member

  #1
  Mar 6, 2011
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 665
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Wana JF...

  Tembelea hii wizara ya miundombinu (Government of Tanzania - Ministry of Infrastructure Development) ujionee uozo wa wataalamu wa IT waliopo wizara hiyo.Taarifa ni zile za zamani enzi za waziri Dr. Shukuru Kawambwa na naibu wake Hezekiah Chibulunje.

  Pia website hiyo bado inawatambua hawa jamaa kama bado ni mawaziri wa wizara hiyo....hii ni aibu jamani.....Nawasilisha
   
 2. kintu

  kintu JF-Expert Member

  #2
  Mar 6, 2011
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 508
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Hii ni Aibu,kwa mkuu wa kitengo cha Technohama hapo wizarani.kwa muda wote huo tangu mabadiliko yatokee.Kuna vijana wazuri tu na damu bado inachemka muda wa kufanya Kazi kwa Mazoea umepitwa na wakati.
   
 3. Mtanzania haswa

  Mtanzania haswa JF-Expert Member

  #3
  Mar 6, 2011
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 665
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  kweli kintu just imagine watu wako nje ya tanzania na wanataka contacts au kufanya reference na wizara......si watapata wrong information hapo?
   
Loading...