wizara ya mifugo vipi?.....

wizara ya mifugo vipi?.....

chibiliti

Member
Joined
Aug 1, 2013
Posts
15
Reaction score
1
Habar wakuu hivi hii wizara ya mifugo ina mpango gani juu ya kuwaajiri maafisa ugani ambao wamehitimu yapata mwaka na miezi 2 hivi sasa au ndo hawaajiri kabisa mwaka huu naomba mwenye tips from authentic soursce juu ya lini serikali kupitia wzr hii itaajiri?.... mtaani kusha chosha ukizingztia waliahidi watafanya hivyo. naomba kuwasilisha.
 
Back
Top Bottom