Wizara ya Mambo ya nje tokeni mafichoni, tunataka taarifa

Ukraine wamekataa watu wasitoke Sumy kwenda Russia. Mayor wa Sumy kasema atakaetoka ni risasi tu.Poleni sana wanafunzi mlioko Sumy maana Ukraine inawatumia kama Shield.
MUONGO, kama ulivyokuwa unasambaza uongo Mbowe atafungwa kwa sababu ana laana ya kuchepuka.
 
Waziri alikwisha toa taarifa kuwa wanawafuatilia kwa KARIBU wako salama, jambo la kushangaza Globel Education iliyowapeleka baadhi ya wanafunzi iliongea mara moja tu nayo ilikuwa kupanga nauli za ndege ya ATCL ambayo hakuna taarifa ilitokomea wapi! Na kama ilirudi ilirudi na watanzania wangapi! Mikakati ipo na WAFUATILIA KWA KARIBU.
 
MUONGO, kama ulivyokuwa unasambaza uongo Mbowe atafungwa kwa sababu ana laana ya kuchepuka.
Ni kweli .Wanatoka Sumy either kwenda Poland au Hungary. Mbowe katubu kaacha michepuko si unaona katoka kaenda direct kwa mkewe wa ndoa Dr Hilda Mtei Mbowe .
 
Dogo ni mpuuzi sana, hana tofauti na kibaraka ZZK kutafuta kick. Do you really care kuhusu hao watanzania
 

Hiiiiii bagosha!

 
Mama yupo huko anatumombea msaada tusaidiwe kupewa Msaada ticket za ndege za kubeba wa TZ tu

nchi ishafikia mwisho kufikiri kila jambo mpk msaada,hapo linasubriwa tamko la nchi fulani kusema litawachukua

wananchi wa Tanzania halafu utaskia viongozi watavyofurahia kama wameskia mgao wa pipi jojo,hamna kitu nchi

inaweza fanya tena kwa gharama zake binafsi,mahali popote patapo hitaji Pesa itolewe mambo yahairishwe Msaada

ndio kimbilio la Tanzania yetu, Haya na ykiwapata yakuwapata hao watanzania muombe tena msaada wa kuwarudsha huku..

Tanguu ni ijue siasa hamna uongozi unaotia hasira kama uongozi awamu ya 6 (uongozi wa MAMA) yani huko nyuma kulikua na madhaifu mengi tu lakini madhaifu ya Awamu ya 6, daah ni vile wananchi tumezuiwa kujichukulia sheria mikononi...

Maana nilikua naenda pale dodoma narusha chupa za soda kwa kila wazri ataeingia pale canteeen pasua pasua tu wote sion hata wakuacha...
 
Watanzania waliokuwepo Ukraine wamesaidiwa .Wapo waliopokewa Hungary na Poland na wafanyazi wa ubalozi uliopo Sweden na wengine wameingia Urusi.
Kuna lingine?Siasa za matukio huwa zinangoja matukio.Matukio yakipita wanatulia wanangoja matukio mapya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…