GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 56,548
- 108,882
" Tanzania President orders army to buy Cashew nuts " kwa Kiswahili " Rais wa Tanzania aamuru Jeshi Kununua Korosho "
Na taarifa hii imechapichwa na Gazeti la Daily Monitor ( ambalo lina mrengo mkubwa sana wa Upinzani huko nchini Uganda ) la nchini Uganda na ipo pia katika ' online ' yao. Imeleta mjadala mkubwa sana wa Kimantiki na Kihoja huko nchini Uganda na Rais wetu ameanza Kutafsiriwa vibaya na Waganda ' wamefunguka ' mno.
Nawaombeni Wizara husika na hata Mabalozi hebu muwe mnafanya Kazi zenu kwa umakini na kuwahi kutoa ufafanuzi kwa hizi ' Media ' za nje ili zisiwe zinaandika kwa ' Kupotosha ' na kuzidi ' Kutuharibia ' Watanzania.
Nawasilisha.