Kuna wageni, kama vile wachina wanasema wanakuja kufanya utalii lakini wakifika wanapokelewa na wachina wenzao hasa kwenye kazi za barabara (ujenzi wa barabara), migodi, n.k .
ukifika kwenye hizi sector kuanzia mpishi, mlinzi, dereva wote ni wachina, wabongo wanapewa kazi za hovyo sana.
wana jf hivi ili mtu aweze kukaa hapa nchini na aweze kufanya kazi anatakiwa awe na vigezo gani?
wanajifanya watalii wanakaa miaka miwili wanaondoka, hasara serikali inayopata
1. permit fees hawalipi
2. unemployment kwa watu wake
3. wanaondoka in income yote
naomba hii wizara Muweke uzalendo mbele kuliko maslahi yenu
Nafikiri rais aangalie wizara hii kwa jicho la pili maana inamuangusha