wizara ya kilimo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

wizara ya kilimo

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by tunyi, Apr 14, 2012.

 1. t

  tunyi Member

  #1
  Apr 14, 2012
  Joined: Jan 24, 2012
  Messages: 15
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  naomba mnijuze wanajamiiforum, research officer ll, agro-officer ll na wakufunzi walishaitwa kwa usaili wizara ya kilimo? Nawasilisha nipo bush magazeti hayapatikani kiurahisi.
   
 2. kalagabaho

  kalagabaho JF-Expert Member

  #2
  Apr 14, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 4,301
  Likes Received: 2,127
  Trophy Points: 280


  kazi yenyewe uliyoiomba ni ya shamba we isubiri hukohuko shamba nipe namba ya diwani wako nitampa taarifa kwa barua hii mitandao achana nayo we jiandae kuishi kishambashamba tu!
   
 3. i

  imate Member

  #3
  Apr 17, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 10
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ajira iliahirishwa. walioajiriwa ni certificates and diploma. graduates no ajira. toka jan wapo kazini. shame upon the govt
   
Loading...